makmugani Member Joined Jul 21, 2015 Posts 37 Reaction score 6 Dec 2, 2015 #1 Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kiume nahitaji mke wa kuowa mwenye sifa zifuatazo, Mweusi na mrefu wastani na unene wa kati. Elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima UKIMWI kabla ya yote. Mimi nafanya kazi katika taasisi moja ya fedha hapa Dar.
Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kiume nahitaji mke wa kuowa mwenye sifa zifuatazo, Mweusi na mrefu wastani na unene wa kati. Elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima UKIMWI kabla ya yote. Mimi nafanya kazi katika taasisi moja ya fedha hapa Dar.
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,578 Reaction score 1,817 Dec 2, 2015 #2 makmugani said: Habari wana jf, Mimi ni kijana wakiume nahitaji mke wa kuowa mwenye sifa zifuatazo, mweusi na mrefu wastani na unene wa Kati, elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima Ukimwi kabla ya yote. Mimi nafanya kazi katika taasisi moja ya fedha hapa Dar. Click to expand... Okay, ingia kwenye jukwani la mapenzi na mahusiano ndani yake kuna kijukwaa kidogo kinaitwa Love connect hapo ndio penyewe pa kuweka hii mada yako.
makmugani said: Habari wana jf, Mimi ni kijana wakiume nahitaji mke wa kuowa mwenye sifa zifuatazo, mweusi na mrefu wastani na unene wa Kati, elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima Ukimwi kabla ya yote. Mimi nafanya kazi katika taasisi moja ya fedha hapa Dar. Click to expand... Okay, ingia kwenye jukwani la mapenzi na mahusiano ndani yake kuna kijukwaa kidogo kinaitwa Love connect hapo ndio penyewe pa kuweka hii mada yako.
Osmokalu Senior Member Joined Nov 13, 2015 Posts 188 Reaction score 154 Dec 2, 2015 #3 Peleka mada yako kwenye jukwaa stahiki ndio unafanya kwenye tasisi ya fedha unashindwa kujitambua
makmugani Member Joined Jul 21, 2015 Posts 37 Reaction score 6 Dec 2, 2015 Thread starter #4 Bakulutu said: Okay, ingia kwenye jukwani la mapenzi na mahusiano ndani yake kuna kijukwaa kidogo kinaitwa Love connect hapo ndio penyewe pa kuweka hii mada yako. Click to expand... Ok xawa mkuu!!!
Bakulutu said: Okay, ingia kwenye jukwani la mapenzi na mahusiano ndani yake kuna kijukwaa kidogo kinaitwa Love connect hapo ndio penyewe pa kuweka hii mada yako. Click to expand... Ok xawa mkuu!!!
makmugani Member Joined Jul 21, 2015 Posts 37 Reaction score 6 Dec 2, 2015 Thread starter #5 Osmokalu said: Peleka mada yako kwenye jukwaa stahiki ndio unafanya kwenye tasisi ya fedha unashindwa kujitambua Click to expand... Xawa Asahnte kwa ushauli wako!
Osmokalu said: Peleka mada yako kwenye jukwaa stahiki ndio unafanya kwenye tasisi ya fedha unashindwa kujitambua Click to expand... Xawa Asahnte kwa ushauli wako!
M Mr Mayunga JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 313 Reaction score 40 Dec 2, 2015 #6 Uko wapi?
manchoso JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 1,605 Reaction score 2,058 Dec 2, 2015 #7 makmugani said: Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kiume nahitaji mke wa kuowa mwenye sifa zifuatazo, Mweusi na mrefu wastani na unene wa Kati. Elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima UKIMWI kabla ya yote. Mimi nafanya kazi katika taasisi moja ya fedha hapa Dar. Click to expand... hii sentensi sidhani kama itakupatia mke mwema!!
makmugani said: Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kiume nahitaji mke wa kuowa mwenye sifa zifuatazo, Mweusi na mrefu wastani na unene wa Kati. Elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima UKIMWI kabla ya yote. Mimi nafanya kazi katika taasisi moja ya fedha hapa Dar. Click to expand... hii sentensi sidhani kama itakupatia mke mwema!!