Natafuta mke

Selesayi

Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
52
Reaction score
8
Nina miaka 32 male,nimeajiriwa,rangi-maji ya kunde,mrefu kiasi 156cm,elimu ya chuo kikuu,mwenyeji wa Simiyu na ni mkristo.

Natafuta mke mwema,mkristo wa kweli,mrefu,mweupe au chocolate colour asietumia mkorogo,aged 25-29,elimu diploma au zaidi,employed au mjasiliamali, umbo namba 6,mawazo chanya ya maisha na uvumilivu.

Kadri ya maandiko matakatifu. Anaeishi Mwanza,Shinyangay,Simiyu au Tabora atapewa nafasi zaidi.
Contact me throu 0713583608.
 

Ninamaanisha,seriously!
 

Kwendaa hukooo..nlijua nimeangukia afu unataja maeneo ambayo sijawahi fika! et simiyu,Tabora... sijui nn!!!!
 
Reactions: amu
:lol::lol::lol::lol::lol::lol:

anayetafutwa ni huyu na siyo huyu

hahahahahhaaa watu wanaotoka mkoa wa kanda ya ziwa bhana wana vijimambo
 
Kwendaa hukooo..nlijua nimeangukia afu unataja maeneo ambayo sijawahi fika! et simiyu,Tabora... sijui nn!!!!

Wala usiwaze saaana,it is the matter of time,sehemu ambayo hujafika weye ujue wenzako ndo uwanjani kwao all the time. Enjoy your freedom of choice and expression with a free mind,my dear!
 
Vigezo viwili vimenifanya nisiqualify.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…