Mungu alivyomtengeneza Adam akaona ni jambo jema kuwa na mwenza ambaye ni Hawa. Muda wa kukaa upweke naona ufike tamati. Natafuta mke mwema mwenye maadili ya kumpendezesha mungu. Mimi ni mwislam 40+. Natafuta mke mwenye elimu ya kawaida awe ana akili ya kutambua maisha na kuyakabili awe na umri wa miaka 30 mpk 35.
Haujakutana na walimwengu wewe. Huu ndio muda wa kutulia maana nina watoto tayari natafuta wa kuchunga nae mbuzi na ng'ombe. Nyie vijana mnajua kutanua tu. Karibu shamba uongeze siku kwa kuona mifugo inapandana achana na kushangaa mwendokasi mjukuu wangu. Unakumbuka Mandela alioa nae akiwa mzee. Babu Seya kaoa juzi tu.