Weka na ww la kwako usinipangie mkuuMambo ya elimu na kiingereza tena??? Unatafuta mke au mfanyakazi.
we boya kweli>> kiingereza kinakusaidia nini falaweeQUOTE]Boya baba yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinipangie fala wwWe mwenyewe hujitambui umeandika kichwa cha habari ambacho mke mtarajiwa anaweza hisi anaenda kuelewa na mwehu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kila mtu anataka mke kutegemea na kazi anayofanya na uhitaji wake kwa mustakabali wa maisha ya familia yakeunataka kufunguliwa darasa la english course?
UsinipangieMambo ya elimu na kiingereza tena??? Unatafuta mke au mfanyakazi.
Wenye akili washanielewa mkuu,ww hata usihangaikeSasa mkuu mbona unatuchanganya..."unafuta mke, au unatafuta mke?"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mfanyakaz wa ndaniWake tunaojua kiingereza ila kupika hatujui unatusaidiaje hautupeleki amazon collage?!
Kuumbe
Kiingereza kinasaidia mkuu kwenye mahusiano, mi mwenyewe nitaweka bandiko soon la kutafuta mke, ila kigezo namba moja awe good expert kwenye mathematics na awe fluent in English speaking pia awe anaweza kuendesha gari na bila kusahau leseni class C. Kuongea kifaransa ni added advantage.🤔🤔we boya kweli>> kiingereza kinakusaidia nini falawee<