la Jeneral JF-Expert Member Oct 8, 2010 392 57 Oct 8, 2011 #21 ukipata mchumba/mke/mme kwenye jf/blog mbalimbali husikubali ku do mpaka ndoa kwanza vinginevyo haolewi mtu utalia na machoz yatakwenda na majiii
ukipata mchumba/mke/mme kwenye jf/blog mbalimbali husikubali ku do mpaka ndoa kwanza vinginevyo haolewi mtu utalia na machoz yatakwenda na majiii
Emasaku Member Sep 24, 2011 51 6 Oct 9, 2011 #24 la Jeneral said: ukipata mchumba/mke/mme kwenye jf/blog mbalimbali husikubali ku do mpaka ndoa kwanza vinginevyo haolewi mtu utalia na machoz yatakwenda na majiii Click to expand... kama amefunga nae ndoa ukikuta nanii yake ni pana sana?!
la Jeneral said: ukipata mchumba/mke/mme kwenye jf/blog mbalimbali husikubali ku do mpaka ndoa kwanza vinginevyo haolewi mtu utalia na machoz yatakwenda na majiii Click to expand... kama amefunga nae ndoa ukikuta nanii yake ni pana sana?!
Kaunga JF-Expert Member Nov 28, 2010 12,530 13,469 Oct 9, 2011 #25 Husninyo said: Mke kapotea? Click to expand... Mshauri aweke picha yake ili tukimuona tumtaarifu!
M Mokoyo JF-Expert Member Mar 2, 2010 15,145 5,553 Oct 9, 2011 #26 KANYIGO. said: umeshajaribu mabibo hosteli na Ifm? Click to expand... Kuna godown huko?
figganigga JF-Expert Member Oct 17, 2010 25,492 54,895 Oct 9, 2011 #27 mi napenda ulivyofunguka.halafu eti wasichana wanasema hamna wanaume wa kuwaoa.jamani changamkieni hiyo nafasi msije kuijutia.mia
mi napenda ulivyofunguka.halafu eti wasichana wanasema hamna wanaume wa kuwaoa.jamani changamkieni hiyo nafasi msije kuijutia.mia
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,193 Oct 9, 2011 #28 Kaunga said: Mshauri aweke picha yake ili tukimuona tumtaarifu! Click to expand... wazo zuri hili.
nyotanjema Senior Member Sep 24, 2011 136 32 Oct 9, 2011 #29 KANYIGO. said: umeshajaribu mabibo hosteli na Ifm? Click to expand... ifm tena wapo wa kumwaga pesa yako tu na uwe na uwezo wa kubadil magari hata ya kuazima
KANYIGO. said: umeshajaribu mabibo hosteli na Ifm? Click to expand... ifm tena wapo wa kumwaga pesa yako tu na uwe na uwezo wa kubadil magari hata ya kuazima
nyotanjema Senior Member Sep 24, 2011 136 32 Oct 9, 2011 #30 Huwezi kuwa makini kiasi hcho kama vp anza kupanda magari ya mwenge jion kutoka posta utakutana na warembo wenye haraka za maisha.
Huwezi kuwa makini kiasi hcho kama vp anza kupanda magari ya mwenge jion kutoka posta utakutana na warembo wenye haraka za maisha.
J jackline JF-Expert Member May 5, 2011 223 50 Oct 10, 2011 #31 Pole sana maana naona katika wakati mgumu mkuu.Lakini nadhani uwe makini sana na huyo utayempata maana wengi ni matapeli
Pole sana maana naona katika wakati mgumu mkuu.Lakini nadhani uwe makini sana na huyo utayempata maana wengi ni matapeli