tusio na kazi mnatunyanyapaamimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo dar,nimeajiriwa na nnakazi nzuri tu.Natafuta mchumba aliye serious lengo,badae awe mke.vigezo_awe na hofu ya Mungu,(elimu)awe kafika chuo,awe ameajiriwa serikalini au taasisi yeyote.(tegemezi sitaki),dini na kabila lolote.tafadhali sipendi kubipiwa wala mizaha! aliyetayari anichek 0753 041841
Ambao hatujafika chuo mbona mnatubagua.Na ambao ni tegemezi??mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo dar,nimeajiriwa na nnakazi nzuri tu.Natafuta mchumba aliye serious lengo,badae awe mke.vigezo_awe na hofu ya Mungu,(elimu)awe kafika chuo,awe ameajiriwa serikalini au taasisi yeyote.(tegemezi sitaki),dini na kabila lolote.tafadhali sipendi kubipiwa wala mizaha! aliyetayari anichek 0753 041841
Kwelitusio na kazi mnatunyanyapaa
hapa tusiowasomi ndo tusome nambaAmbao hatujafika chuo mbona mnatubagua.Na ambao ni tegemezi??
kweli hii fursa mapenzi yanachagua hadi level ya elimu kweli nimeaminvigezo na masharti kuzingatiwa,wa cheti hapana angalau diploma!
Natamani ngekuwa msomi wa chuo mjikamatie fursa
Haaaaaaawakwenu wapo,wanakuja!