1 12vigor Member Joined Aug 12, 2012 Posts 50 Reaction score 9 Feb 4, 2016 #1 Miaka kuanzia 30 Awe muislam Awe anajua kusoma quran Aliye serious anipm
M Mtambo123 Member Joined Feb 2, 2016 Posts 37 Reaction score 17 Feb 4, 2016 #2 12vigor said: Miaka kuanzia 30 Awe muislam Awe anajua kusoma quran Aliye serious anipm subiri waje Click to expand...
12vigor said: Miaka kuanzia 30 Awe muislam Awe anajua kusoma quran Aliye serious anipm subiri waje Click to expand...
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,397 Feb 4, 2016 #3 Sasa mbona wewe hesemi ukoje mrefu mwembamba unajua kusoma Quran unasali,unafanya kazi gani? una nyumba au umepanga unawatoto..unaishi wapi?
Sasa mbona wewe hesemi ukoje mrefu mwembamba unajua kusoma Quran unasali,unafanya kazi gani? una nyumba au umepanga unawatoto..unaishi wapi?
1 12vigor Member Joined Aug 12, 2012 Posts 50 Reaction score 9 Feb 4, 2016 Thread starter #4 NIMPENDENANI said: Sasa mbona wewe hesemi ukoje mrefu mwembamba unajua kusoma Quran unasali,unafanya kazi gani? una nyumba au umepanga unawatoto..unaishi wapi? Click to expand... Love has no boundary.mimi si mfupi wala si mrefu Si mnene wala si mwembamba. Najua kusoma quran, nasali, nafanya biashara ya kuuza nafaka.sina nyumba nimepanga. Sina watoto naishi ubungo
NIMPENDENANI said: Sasa mbona wewe hesemi ukoje mrefu mwembamba unajua kusoma Quran unasali,unafanya kazi gani? una nyumba au umepanga unawatoto..unaishi wapi? Click to expand... Love has no boundary.mimi si mfupi wala si mrefu Si mnene wala si mwembamba. Najua kusoma quran, nasali, nafanya biashara ya kuuza nafaka.sina nyumba nimepanga. Sina watoto naishi ubungo