Natafuta mke wa kuoa

Eduin

Senior Member
Joined
May 15, 2014
Posts
189
Reaction score
136
Mimi naitwa Edwin, Nina miaka 26.

Kabila langu ni Muhaya Msabato mrefu mwembamba brown.

Sijaajiliwa ila nina elimu ya mechanical.

Namtafuta binti mwembamba, rangi yeyote mcha Mungu, Mkristu na Elimu yeyote. Awe na Umri kati ya miaka 18-22.

Kwa mawasiliano, Nitumie PM au nipigie simu #0713123160, beep au tuma meseji.

Asante
 
soulmate mkuu ? huwezi kupata a lot of suprises from that lady zitakuwepo .. so labda kampenzi tu mhaya wa watu
 

Unatafuta mke wa kuoa?!dah!yani mke wa kuoa!!mi nafikiri ungesema mwanamke wa kuoa coz huwezi kuoa mke!!
 
Sasa mdogo wangu, huyu binti unamtafutia nini???????????? Tohoa kauli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…