Kama huna mtoto usije DM
๐๐hutaki mke wewe!! Hao watoto wa mwanamke unataka kuwafanya nini??
Furushi ndio nn mkuuUnataka furushi
Watoto wa mwanamke nataka wacheze na watoto wanguhutaki mke wewe!! Hao watoto wa mwanamke unataka kuwafanya nini??
Sio kweli mim ni humbled guyHuyu anazingua na hiyo avatar itakua ni mtu katili sana
Furushi ndio nn mkuu
Watoto wa mwanamke nataka wacheze na watoto wangu
Me nishaolewa my friend...kila la kheriUmeolewa kama bado na una mtoto njoo inbox
Kweli kabisa๐๐๐Huyu anazingua na hiyo avatar itakua ni mtu katili sana
Inashangaza YaniUkiona mtu anatafuta mke kaandika dini yoyote hapo hakuna muoaji cha zaidi ni mtafuta malaya aliechangamka tu
Kweli kabisa
Nilikuwa sijaangalia avatar
๐๐๐Ngoja aje usikimbieMeno ya mbele hana!!! Inaonekana Mandonga
Subiri ๐๐sema hayo mapengo hawez sema nimekumiss itakuwa nimekumithiiiWala simkimbii mwambie aje
Subirisema hayo mapengo hawez sema nimekumiss itakuwa nimekumithiii
Bathi njoo thatha hivi๐๐๐samaki atasema thamakii