Halafu huo mvuto unaozungumzia unao ni upi,wa kiume?wa kishoga au wa kike?manake nimezoe kauli zile za kina maa mtaan kam hii MWANAMKE MVUTO BABU HEHEEE SHUTUUU!UNALO HILO. TUJUZE WE UNAYEJISIFIA KA SHAROBARO.
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa!...nimecheka kweli*2,....eti ana mvuto_ni nadra sana kwa mwanaume kujinasibu eti ana mvuto sana,labda kama ni wa kiume,..ila mvuto wa kichawi ndio ukoje mkuu