Kwa jina naitwa Jonathani nipo Geita, kazi yangu mkulima. Natafuta mke wa kuoa awe mcha Mungu mwenye elimu kuanzia form 4 na kuendelea mrefu kuanzia futi 6.5 nakuendelea maji ya kunde au mweupe umri kuanzia miaka 19-26 awe serious na ndoa uwe tayari kuishi popote hapa Tz.
Kwa aliyetayari awasiliane nami kwanjia ya Email nfumakhule@gmail.com au simu namba 0625805834.