Mungu na akapate kutimiza haja ya moyo wako....ila sidhani kama umetumia maneno sahihi kufikisha ujumbe wako...ingefaa kama ungeandika mwanamke anaeishi na VVU..siku hizi hatunaga UKIMWI kaka labda ujitakie mwenyewe kuupata huo UKIMWI wachache watenielewa.....lastly be positive and constructive usijihukum kw ahali uliyo nayo,....bado tunakuhitaji sana kwenye ujenz wa taifa hili na siku hizi watu wanaoana na kuzaa watoto bila VVU....karibu sna