All the best[/QU
Naamini MADA imeeleweka vizuri. Kufanya mambo ya kikubwa na kuwa na mke ni vitu viwili tofauti. Pia, hakuna umri maaluma ambao mtu analazimishwa kuwa na mumu au mke. Mtu anapofikia hatua ya kuamua kufanya jambo kwa muda sahihi, ndiyo hicho hasa cha msingi. Kuna watu wanaoa na kuolewa zaidi ya huo umri. Sasa sijajua hasa kilichokushangaza ni nini!! Mbona hukumshangaa Prince Charles wa Malikia Elizabeth alipooa katika umri hule? Asanteni.