R Rise-Shine New Member Joined Nov 28, 2018 Posts 2 Reaction score 3 Nov 29, 2018 #1 Ni mwanaume, naishi Dar es Salaam ni mfanyakazi na biashara pia. Natafuta Mke wa miaka 35 na kuendelea, mkristo na asiwe mchaga au mhaya. Kwa aliye serious tuwasiliane.
Ni mwanaume, naishi Dar es Salaam ni mfanyakazi na biashara pia. Natafuta Mke wa miaka 35 na kuendelea, mkristo na asiwe mchaga au mhaya. Kwa aliye serious tuwasiliane.
Rebeca 83 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15,475 Reaction score 33,038 Nov 29, 2018 #2 Mnhhh why 35+ ??
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,532 Reaction score 81,260 Nov 29, 2018 #3 Ukabila sio mzuri. Dada zetu wakichaga wataolewa na nani sasa?
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,532 Reaction score 81,260 Nov 29, 2018 #4 Rebeca 83 said: Mnhhh why 35+ ?? Click to expand... Labda yeye ni mzee wa 50+ au ni gigolo wa 20s anatafuta jimama la kumlea.
Rebeca 83 said: Mnhhh why 35+ ?? Click to expand... Labda yeye ni mzee wa 50+ au ni gigolo wa 20s anatafuta jimama la kumlea.
R Rise-Shine New Member Joined Nov 28, 2018 Posts 2 Reaction score 3 Nov 29, 2018 Thread starter #5 Rebeca 83 said: Mnhhh why 35+ ?? Click to expand... Umrio huo wengi wanajielewa
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Nov 29, 2018 #6 Huyo anaonyesha ni zwazwa anaogopa challenge za wanawake wasomi ambao wengi ni wachaga na wahaya chaliifrancisco said: Ukabila sio mzuri. Dada zetu wakichaga wataolewa na nani sasa? Click to expand...
Huyo anaonyesha ni zwazwa anaogopa challenge za wanawake wasomi ambao wengi ni wachaga na wahaya chaliifrancisco said: Ukabila sio mzuri. Dada zetu wakichaga wataolewa na nani sasa? Click to expand...
Culture Me JF-Expert Member Joined May 24, 2017 Posts 10,495 Reaction score 21,444 Nov 30, 2018 #8 chaliifrancisco said: Labda yeye ni mzee wa 50+ au ni gigolo wa 20s anatafuta jimama la kumlea. Click to expand... Hahahahahaha nimecheka sana hilo neno Gigolo kitambo kulisikia duuh!
chaliifrancisco said: Labda yeye ni mzee wa 50+ au ni gigolo wa 20s anatafuta jimama la kumlea. Click to expand... Hahahahahaha nimecheka sana hilo neno Gigolo kitambo kulisikia duuh!
Culture Me JF-Expert Member Joined May 24, 2017 Posts 10,495 Reaction score 21,444 Nov 30, 2018 #9 Rise-Shine said: Umrio huo wengi wanajielewa Click to expand... Mbona hujasema umri wako wala kabila lako?
Rise-Shine said: Umrio huo wengi wanajielewa Click to expand... Mbona hujasema umri wako wala kabila lako?
Mtoto wa Baba JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 3,123 Reaction score 4,026 Nov 30, 2018 #10 chaliifrancisco said: Ukabila sio mzuri. Dada zetu wakichaga wataolewa na nani sasa? Click to expand... Wapo wanaume wanatupenda sana tu wala usijali mkuu
chaliifrancisco said: Ukabila sio mzuri. Dada zetu wakichaga wataolewa na nani sasa? Click to expand... Wapo wanaume wanatupenda sana tu wala usijali mkuu
Mtoto wa Baba JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 3,123 Reaction score 4,026 Nov 30, 2018 #11 culture gal said: Mbona hujasema umri wako wala kabila lako? Click to expand... Kwa kuangalia umri huo alioweka kama kigezo unaweza hata kukadiria umri wake. Nilikuwa nawaza tu
culture gal said: Mbona hujasema umri wako wala kabila lako? Click to expand... Kwa kuangalia umri huo alioweka kama kigezo unaweza hata kukadiria umri wake. Nilikuwa nawaza tu
Mtoto wa Baba JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 3,123 Reaction score 4,026 Nov 30, 2018 #12 hazard cfc said: Huyo anaonyesha ni zwazwa anaogopa challenge za wanawake wasomi ambao wengi ni wachaga na wahaya Click to expand... Sure...apambane tu na hao wa level zake
hazard cfc said: Huyo anaonyesha ni zwazwa anaogopa challenge za wanawake wasomi ambao wengi ni wachaga na wahaya Click to expand... Sure...apambane tu na hao wa level zake
Culture Me JF-Expert Member Joined May 24, 2017 Posts 10,495 Reaction score 21,444 Nov 30, 2018 #13 Mtoto wa Baba said: Kwa kuangalia umri huo alioweka kama kigezo unaweza hata kukadiria umri wake. Nilikuwa nawaza tu Click to expand... Lol, atakua Gigolo huyo.
Mtoto wa Baba said: Kwa kuangalia umri huo alioweka kama kigezo unaweza hata kukadiria umri wake. Nilikuwa nawaza tu Click to expand... Lol, atakua Gigolo huyo.
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,532 Reaction score 81,260 Nov 30, 2018 #14 culture gal said: Hahahahahaha nimecheka sana hilo neno Gigolo kitambo kulisikia duuh! Click to expand... culture gal said: Lol, atakua Gigolo huyo. Click to expand... Umekumbuka wapi mkuu?
culture gal said: Hahahahahaha nimecheka sana hilo neno Gigolo kitambo kulisikia duuh! Click to expand... culture gal said: Lol, atakua Gigolo huyo. Click to expand... Umekumbuka wapi mkuu?