K Kitungambele New Member Joined Apr 19, 2019 Posts 3 Reaction score 0 Jan 18, 2026 #1 Mimi ni mkristo umri miaka 30 natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke wangu ila ajipime huko kwanza na awe tayari kuja kupima na mimi. Awe anajua kusoma na kuandika, mtoto moja anatosha, nipo dsm.
Mimi ni mkristo umri miaka 30 natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke wangu ila ajipime huko kwanza na awe tayari kuja kupima na mimi. Awe anajua kusoma na kuandika, mtoto moja anatosha, nipo dsm.
Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 2,935 Reaction score 5,527 Jan 18, 2026 #2 Usioe kbl hujatembelea singida na manyara dokezo utanishukuru baadae
MD SPECIAL JF-Expert Member Joined Jul 4, 2025 Posts 1,162 Reaction score 2,802 Jan 18, 2026 #3 Chunga usiingie kwenye mtego wa single mothers au hawa wenye elimu kubwakubwa utakuja jifia siku si zako kwa msoto na vipengele utakavyokutana navyo!.
Chunga usiingie kwenye mtego wa single mothers au hawa wenye elimu kubwakubwa utakuja jifia siku si zako kwa msoto na vipengele utakavyokutana navyo!.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,277 Reaction score 129,455 Jan 18, 2026 #4 Kwamba awe anakuchekesha kuhusu Mungu?
John Sin JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,164 Reaction score 16,232 Jan 18, 2026 #5 Oa mwanamke mzuri achana na mcha Mungu Kanuni ni moja tu, utakula kibaya na wenzio au ule kizur na wenzio
Oa mwanamke mzuri achana na mcha Mungu Kanuni ni moja tu, utakula kibaya na wenzio au ule kizur na wenzio
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,702 Reaction score 19,611 Jan 18, 2026 #6 Mcha Mungu?
888I JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 470 Reaction score 581 Jan 18, 2026 #7 Kwanini mcha Mungu sasa
K Kitungambele New Member Joined Apr 19, 2019 Posts 3 Reaction score 0 Jan 19, 2026 Thread starter #8 Munch wa Annabelle said: Oa mwanamke mzuri achana na mcha Mungu Kanuni ni moja tu, utakula kibaya na wenzio au ule kizur na wenzio Click to expand... hii nzuri
Munch wa Annabelle said: Oa mwanamke mzuri achana na mcha Mungu Kanuni ni moja tu, utakula kibaya na wenzio au ule kizur na wenzio Click to expand... hii nzuri