Uliyo zungumza ni kweli ila kumbuka haya ni maisha na huwa na mzunguko wake mkubwa sana ambao kikawaida kuutambua si rahisi.Tabu kweli,tangu chekechea mpaka chuo hadi ajirani hujaona tu mwanamke ya kuoa mpaka uanze kutafuta mwanamke gizani?
Ficus una rangi moja na suti yako..πππMtaani kwenu umekosa!?
napendezea eeeh? najivunia rangi yanguπππFicus una rangi moja na suti yako..πππ
Anawahi papuchi kachoka kupiga puchuMiaka 28 unaharakia nini???? Tulizana.