Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,242
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeipenda hii...unafiki kandoHodi humu,
Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.
Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.
Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.
Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
Asante.[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeipenda hii...unafiki kando
Asante mkuu.Safi sana
Mlevi orijino atasogea mwenyewe PM na tutayajenga inshallah.Na wanawake walevi kwa unafiki watakuponda!!! All the best
asante mkuuMungu akupe hitaji la moyo wako
hapana mkuu we live once, soNoma sana hii
We mlevi haya kimbia pm harakaMungu akupe hitaji la moyo wako
Ulevi wangu me ni kwako tu,yaani nakuwa hoiii[emoji6][emoji6]We mlevi haya kimbia pm haraka
Miss youMungu akupe hitaji la moyo wako
Me too,za kupotea?Miss you
Nipo itakuwa tunapishana sana.Me too,za kupotea?
Bora umejifungukia mapemaHodi humu,
Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.
Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.
Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.
Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
Si kwakupishana huku basi.Nipo itakuwa tunapishana sana.
Namuonaga shem tu [emoji1][emoji1]