V vyevye Member Joined Mar 5, 2015 Posts 19 Reaction score 7 Apr 8, 2015 #21 mr kyaka said: mimi ni mfanyakaz idara ya fedha ktk halmashaur flan hapa tz natafuta mchumba au mke wa kuoa ambae tayar ni muajiriwa serikalin pia. Click to expand... Tupo ila hujajiweka wazi tuna maswali mengi.
mr kyaka said: mimi ni mfanyakaz idara ya fedha ktk halmashaur flan hapa tz natafuta mchumba au mke wa kuoa ambae tayar ni muajiriwa serikalin pia. Click to expand... Tupo ila hujajiweka wazi tuna maswali mengi.
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,378 Apr 13, 2015 #23 Msimcheke kesho wewe utajskiaje nyie ndio mnao badil ID mnapokuw nashida km yake.
King's daughter JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 690 Reaction score 198 Apr 13, 2015 #24 Kama sijakuelewa vilee..Mke ni aliye olewa tayari,na mchumba ni aliyevishwa pete ya uchumba tayari. Hao washawahiwa.Labda ungetafuta rafiki kwaajili ya mahusiano ungeeleweka mkuu!
Kama sijakuelewa vilee..Mke ni aliye olewa tayari,na mchumba ni aliyevishwa pete ya uchumba tayari. Hao washawahiwa.Labda ungetafuta rafiki kwaajili ya mahusiano ungeeleweka mkuu!