natafuta Min Laptop kwa tsh 300000 tu.

natafuta Min Laptop kwa tsh 300000 tu.

Kazakuku

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
354
Reaction score
110
Ndio wandugu!nahitaji Min laptop kwa tsh 300000 tu. Aliyenayo an PM.ila brand New!
 
"brand new" anamaanisha inayofanya kazi na inakaa na chaji muda mrefu(navyohisi)!! vinginevyo dau lake ni dogo 300000 kuweza kupata brand new ya kiukweli ukweli.
 
lete 360,000 nikupe samsung mini ,brand new 2013-05-01 08.33.04-1.jpg
 
"brand new" anamaanisha inayofanya kazi na inakaa na chaji muda mrefu(navyohisi)!! vinginevyo dau lake ni dogo 300000 kuweza kupata brand new ya kiukweli ukweli.

Nipe mawasiliano mkuu mi hilo dau ninalo, hata uki ni pm it's ok.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom