Natafuta mifuko ya Kuhifadhia Mazao

ivankeny

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
310
Reaction score
280
Wanajamvi naomba kujuzwa sehemu wanapouza mifuko ya Jumla ya Kuhifadhia Mazao,kwa bei ya Kiwandani..ama hata sehem kilipo kiwanda cha uzalishaji...Natanguliza Shukrani.
 
Wanajamvi naomba kujuzwa sehemu wanapouza mifuko ya Jumla ya Kuhifadhia Mazao,kwa bei ya Kiwandani..ama hata sehem kilipo kiwanda cha uzalishaji...Natanguliza Shukrani.
unataka kilo 50 au kilo 100 pc ngapi ninayo dukani kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…