Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 75 Aug 30, 2010 #1 Wadau, natafuta Mercedes Benz saloon ya kununua, ambayo haijatembea Bongo. Napendelea light colours prefarrably silver, iwe left hand. Any model.
Wadau, natafuta Mercedes Benz saloon ya kununua, ambayo haijatembea Bongo. Napendelea light colours prefarrably silver, iwe left hand. Any model.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Aug 30, 2010 #2 Mbona ziko nyingi tu kwenye ma show room? Au unataka zile za wizi za kutoka sauz afrika na uingereza?
Mbona ziko nyingi tu kwenye ma show room? Au unataka zile za wizi za kutoka sauz afrika na uingereza?
Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 75 Aug 30, 2010 Thread starter #3 mikela said: Mbona ziko nyingi tu kwenye ma show room? Au unataka zile za wizi za kutoka sauz afrika na uingereza? Click to expand... Nimejaribu kucheki sikuona left hand.
mikela said: Mbona ziko nyingi tu kwenye ma show room? Au unataka zile za wizi za kutoka sauz afrika na uingereza? Click to expand... Nimejaribu kucheki sikuona left hand.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Aug 30, 2010 #4 KAKUYU Phone +255222772890 Mobile cell+255754411148 fax fax+255222772890. ALIKUWA NA HAYO MAGARI UNAYOHITAJI KUTOKA UJERUMANI LEFT HAND.
KAKUYU Phone +255222772890 Mobile cell+255754411148 fax fax+255222772890. ALIKUWA NA HAYO MAGARI UNAYOHITAJI KUTOKA UJERUMANI LEFT HAND.
Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 75 Aug 31, 2010 Thread starter #5 Bujibuji said: KAKUYU Phone +255222772890 Mobile cell+255754411148 fax fax+255222772890. ALIKUWA NA HAYO MAGARI UNAYOHITAJI KUTOKA UJERUMANI LEFT HAND. Click to expand... Thanks Bujibuji, acha nimtafute.
Bujibuji said: KAKUYU Phone +255222772890 Mobile cell+255754411148 fax fax+255222772890. ALIKUWA NA HAYO MAGARI UNAYOHITAJI KUTOKA UJERUMANI LEFT HAND. Click to expand... Thanks Bujibuji, acha nimtafute.
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Aug 31, 2010 #6 Welcome to Kheng Keng Auto Pte Ltd
Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 75 Aug 31, 2010 Thread starter #7 Nashukuru mkuu, nimevisit site yao iko interesting.