N nhevly Member Joined Apr 28, 2018 Posts 9 Reaction score 4 May 2, 2018 #1 Nina shamba ekar 3 nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji. Lipo karibu na mto mkubwa.. Nataka kulima mboga mboga nafuta mdhamini atakae nisaidia vifaa vya kilimo.. Npo mbeya mjini Msaada jamani
Nina shamba ekar 3 nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji. Lipo karibu na mto mkubwa.. Nataka kulima mboga mboga nafuta mdhamini atakae nisaidia vifaa vya kilimo.. Npo mbeya mjini Msaada jamani