Natafuta mdau tushirikiane, mimi ni mtaalam wa majitaka

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
Kama heading inavyosema, kwa mara ya kwanza kabisa nilipost hapa kuhusu njia mbadala wa septic tank na soakpit ilikua mwaka 2016,17 niliuza idea yangu ya kutumia BIODIGESTER badala ya kuchimba hayo mashimo,ninashukuru mliipokea vizuri sana na kweli nimewawekea watu wengi tangu mwaka huo.

Challenge imekuja kuwa naona sasa watu wamevamia teknolojia,mafundi wengi wanafanya ingawa hawajui the science behind it,wala hawaweki enzymes yoyote,na nimepata kesi nyingi sana za hao matapeli wanaojitangaza facebook,instagm,tweeter n.k.

Sasa ninakuja kwenu ndugu zangu nina teknolojia zingine mpya ambazo zinafanya kazi vizuri sana zaidi ya hiyo, Ninatafuta mdau ambae tutashirikiana,mfano wazo langu ni kujenga treatment plant ambayo itasafisha majitaka (mavi) na kuwa maji safi ambayo tunaweza kulima bustani au kufuga samaki,nimewaza kwa eneo/ mkoa kama dodoma nikipata eneo tukajenga hiyo plant ambayo watu wataleta magari ya majitaka na tutawa charge lakini pia sisi tutapata maji na kisha kuyatumia kibiashara.
Karibu, kwa maswali au nitafute kwa 0742 266 266
 
Mambo ya Wachina hayo!

Mazao yao mbolea ndio hiyo!
Nyanya, kitunguu kama chungwa,
Yaani mazao yanastawi haswa...
 
Back
Top Bottom