BURTON JNR
Member
- Jul 16, 2014
- 60
- 15
Ni mwanaume nna 26 yrs.NINAKAZI YANGU NA MAISHA YA MAANA KABISA. NNA ELIMU YA JUU SANA.NPO MOROGORO NAHITAJI MCHUMBA WA KUOA. TABIA HAIJALISHI NTAIREKEBISHA MWENYEWE NIPO VIZURI. UMRI USIZIDI MIAKA 26 HATA KAMA ANA MTOTO POA TU. NAMBA YANGU NI.... UKIWA SIRIAZI IOMBE NTAKUTUMIA
hilo nalo neno.. huyu atakuwa domo zege tu hakuna kitu... yaani harakati zako za kupata maisha ya maana sana na elimu ya juu sana,,, kweli umeshindwa kuona wanawake wazuri????unamtafutia humuhumu.....kama unaweza kumpata mwanamke wa kuoa humu kwa nini usiende tu barabarani usiku kuibua changudoa mmoja akaoa?
unamtafutia humuhumu.....kama unaweza kumpata mwanamke wa kuoa humu kwa nini usiende tu barabarani usiku kuibua changudoa mmoja akaoa?
Hebuu...Miaka 26,
-Maisha ya Maana kabisa: Ni yapi?
-Elimu ya juu sana: ni ipi?