Natafuta mchumba

mahmouddy

Senior Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
128
Reaction score
30
Habari zenu waungwana,

Nimejitokeza humu kutafuta mchumba,nahitaji mwanamke aliye seriously,mimi ni mtumishi wa Serikali,sihitaji mwanamke mwenye kazi,ila nahitaji mwanamke nwenye elimu ya kutosha.

Mimi ni Muislam na nnaishi Mwanza,sina mtoto ni vyema nae asiwe na mtoto.Elimu yake aanzie VI na kuendelea,Umri mwisho 23yrs.

Kwa aliye serious anitafute pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…