PRINCE JOHN
Member
- Feb 5, 2015
- 48
- 9
chuchubamchuba ndio nn?
marijulychuchuba
chuchuba
kavae goggles zako naona umeanza kupoteza nguvu ya kuona.
We ni Prince?? Na unatafuta Mke
Muwe mnaweka kwanza CV zenu, hao wachuba watajuaje Kama na ww vigezo unavyo.
CV karibia pm.
Muwe mnaweka kwanza CV zenu, hao wachuba watajuaje Kama na ww vigezo unavyo.
Sifa yake yeye ni wa kiume na anavaa suruali na wakati mwingine pensi!
Sio kila mvaa suruali na pensi mwanaume.
Shikamoo...vipi utakuja kijijini kulima shamba ulilopewa na marehemu bibi? Maana mvua za kupandia karibia zianze!