Natafuta mchumba

Babaubaya

Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
42
Reaction score
6
Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37,natafuta girlfriend ambaye atakua mchumba na baadaye mke wa ndoa,awe na umri kati ya 26-35 asiwe kibonge wala mfupi saana,mkristo lakini kabila na rangi wala elimu so tatizo.Alietayari aniandikie hapahapa na kuweka simu yake nami nitampigia
 
Duuh nlikuwa na sifa kasoro tu mi kifutu
 
Daaaaah kwa vile zooote ninazo ila moyo unasitaaaa
 

mkuu kila la heri ivi vigezo jf wengi wanavyo.
 
Badili jina na avatar nakwambia utaniambia huwez kukosa😉
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…