huyo mchumba unayemtafuta umeambiwa amepotelea huku jf.....!!!!
#Team_modes _fungua "JUKWAA LA MATAHIRA"
mm ni kijana mwenye kipato changu cha kutosha tu na nimeajiriwa serikalini,nimejitokeza hapa kutafuta mchumba/MWANAMKE ntakae weza kuwa nae maishani,umri ni 17-22 uwe na kazi usiwe na kazi sawa,plz kama unahusika njoo PM nw.Asanteni
Usihofu Mkuu Utawapata Wengi Na Vuta Subira Ombi Lako Wanalishughulikia ILA Una Hela Mkuu AU Ndiyo Mpaka Usubirie Hizo Pesa Zenu Za Hazina Ambazo Zinaweza Zikawepo Na Zisiwepo? Mkuu Una Moyo Na Roho Ngumu Kwa Kufunguka!