nikufanyaje?
Good ndugu tafuta mchumba japo hujaweka wasifu wako hapa naona umeweka namba za simu mapemaa! Weka wasifu wako wahusika wavutiwe halafa hiyo namba ya simu iondoe ili usisumbuliwe na wasio na nia. Mwenye nia atakufata PM. Kazi kwenu vijana.