Jameni acheni watoto wasome
rika hilo wapo shule...
ushajipanga kuoa? Nioe mie basi, unamiliki nini na nini?
Nakiliki ww tu
bajaji mbili guta moja na kiosiki mbagala rangi tatu
Sijakuelewa mwenzako...
We ndo msemaji wake ama....??
We ndo msemaji wake ama....??
hHahahahaahahaa anawashwa huyo
Naww toka nkwambie naleta posa umepotea...unachezea bahati
Hahahahaaa..unasubiriwa wewe tu, nashangaa unavyonichelewesha
Njoo pm tupange mipango ya harusi.
Mmmhh...hiyo harusi kwanza ya kidini au ya bomani?
Una triple C boss
Cash
Car
Malizia ya mwisho