Natafuta mchumba

BUZINEM

Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
16
Reaction score
2
mimi ni kijana wa miaka 30 nafanya kazi katika kampuni ya paraguya foundation iliyopo dareslaam natafuta mchumba
 
kiwatengu, kwani yale ya mtongozo live si kichit chat zaidi?
 
Last edited by a moderator:
Unamtafuta mchumba amepotea au?kwani yeye alikuaga anaenda wapi???umetoa taarifa polisi??pole mkuu.
 
Mazoezi yamekushinda mechi utaiweza?
 
Duh nimekuja fasta tena kitu hata hakina masharti ngoja nikamate fursa
 
ifikie kipindi sasa kuwe na daftari maalum la wachumba... walioko kwenye ndoa, walio single, brokes, nk!

vijana wajijue kabisaaaa kuliko kuhangaika mitaani bure bure tu...
 
nashukuru kwa maoni yenu but vigezo uyo mwanamke awe mweusi,na mwembamba
 
sijambo shkamoo shemeji hata sijui ka mzima au kakatika maana yuko kwa bi mdogo leo.

bi mdogo yupi tena? ina maana Window7 kawakusanya kama mafungu ya nyanya?
 
Last edited by a moderator:
bi mdogo yupi tena? ina maana Window7 kawakusanya kama mafungu ya nyanya?
shemeji kwani humjui mke mwenzangu? Hajatukusanya bwana wenye tumekubaliana tunasaidiana majukumu Window ana karaha kweli peke angu simuwezi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…