Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
kwa ulaya sawa. lakini bongo wengi madomo gundi. kwann mtu usitafute unayetaka maana kutafuta kwa mtandao ni uoga na mwananume hutakiw kuwa hivyo
kumbuka kitu kimoja kuwa sisi waafrika nii watu wa kuiga mambo ya mbele(kutoka kwa wazungu) hyo unayosema kwa wazungu ni sawa ndio wameamua kukopy hata huku kwetu......
yeye anashangaa watu kutongozana kwenye social network anasema udomo zege wakati wazee wetu wa zamani walikuwa wanatafutiwa wachumba kabisa na ndo zao zinadumu sasa sijui hao anawaweka kwenye fungu gani??
umenena kweli mkuu. Suala sio udomo zege suala ni kupata mtu anayekufaa! Hajui kuwa hao anaowaona huko mitaan na maofisin na vyuon ndio hawahawa wliopo kwenye social net