Abeid toa namba zako za simu na utawapata wa kutosha,andaa hela ya kutuma kama vocha za simu na kwa kuwa umeamua kuja humu kutafuta mwenza kumbuka kuwa humu wapo wajanja tu ambao kupanda daladala wengine hawawezi hata kama hawana magari,uwe na uwezo wa kuwapeleka kula lunch kwenye hotel yoyote ile yenye hadhi ambayo chips kuku ni lazima uwe na buku 10,mengine utayakuta baadae ukikutana nao,kila lenye kheri.