Natafuta mchumba

Joined
Feb 13, 2013
Posts
46
Reaction score
27
MI mimi ni mvulana(21) bado nasoma . natafuta msicha awe na umri 17-21mrefu awe na rangi yoyote nimeamua kwa sababu nimechoka kupenda nisipopendwa na hisi huyu ajae atanipenda pia tutapendana 🙂
 
Unajua ni kwa nini unapenda usipopendwa.........?
 
Aisee subiri kwanza tume imalize kazi!
 
MI mimi ni mvulana(21) bado nasoma . natafuta msicha awe na umri 17-21mrefu awe na rangi yoyote nimeamua kwa sababu nimechoka kupenda nisipopendwa na hisi huyu ajae atanipenda pia tutapendana 🙂
Dah! ndugu yangu mchumba ushapata
huku kitaani kwetu kuna mdada ana kila sifa ulizozitaja.
ila yeye ana sifa 1 ya nyongeza amewahi toa ujauzito mara 4 hivi
nafikiri huyo atakufaa eeh baba!
 
Unawaona wanakushinda utawaweza ambao hujawaona?!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…