hongera sana kijana na jua kuwa JF ndio kila kitu ..mimi siku za nyuma nilikuja hapa kutafuta mchumba nikaweka na picha yangu na nikampata mwenza wangu hapa...jua kuwa watoto wa JF ni wazuri na wasomi so you made a right decision to come here..
wewe weka picha zako tu hapa na ndani ya masaa machache sms au private meseji zitakumiminikia na ushindwe mwenyewe kuchagua