Natafuta mchumba

Asa ameweka namba haipatikan....she is not serious unaijua ss ma introvert tunapata shda sana
Ohoooo poleee sana mkuu Kachukue mbunuu kuleee MMU Kuna uzi wa ma introverts if am not mistaken!!
 
Na mzee mzee aliyekataliwa na mleta uzi anafaa?
 
Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!

ASANTE
Wababa wa kanda ya ziwa mmemfanyeje huyu singomamu?
 
Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!

ASANTE
Tunaotaka kuongeza mke tunaruhusiwa?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…