sunv Member Joined May 19, 2020 Posts 44 Reaction score 33 Dec 8, 2021 #1 Kama inavyojieleza Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 mpaka 25. Awe mwaminifu nimechoka kuumizwa.
Kama inavyojieleza Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 mpaka 25. Awe mwaminifu nimechoka kuumizwa.
Myahudi93 Senior Member Joined Nov 8, 2019 Posts 109 Reaction score 101 Dec 8, 2021 #2 sunv said: Kama inavyojieleza Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 mpaka 25. Awe mwaminifu nimechoka kuumizwa. Click to expand... Jinsi yako?
sunv said: Kama inavyojieleza Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 mpaka 25. Awe mwaminifu nimechoka kuumizwa. Click to expand... Jinsi yako?
sunv Member Joined May 19, 2020 Posts 44 Reaction score 33 Dec 8, 2021 Thread starter #3 Myahudi93 said: Jinsi yako? Click to expand... Wa kiume
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,273 Reaction score 54,638 Dec 8, 2021 #4 Kuumizwa ni sehemu ya maisha, kila la heri
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,560 Reaction score 8,945 Dec 8, 2021 #5 Pole sana, Mungu akupe haja ya moyo wako.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,771 Reaction score 136,079 Dec 9, 2021 #6 sunv said: Kama inavyojieleza Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 mpaka 25. Awe mwaminifu nimechoka kuumizwa. Click to expand... Kwa huo umri wa miaka 22 - 25, bado utaendelea tu kuumizwa.
sunv said: Kama inavyojieleza Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 mpaka 25. Awe mwaminifu nimechoka kuumizwa. Click to expand... Kwa huo umri wa miaka 22 - 25, bado utaendelea tu kuumizwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,922 Reaction score 195,660 Dec 9, 2021 #7 Kila la kheri...