Unachokijuwa mm nilishakitambua toka kitambo kaka....na kwa taarifa yako huku ndo kwa kupata mke kukiko huko kutafuta mitaan kama unavyofanya wewe....huku ndo kwenye ndoa kaka...ni mtu mwenyewe anajitoa kuwa na kwake kwa mashat tajwa...lakn pia kila mtu na utaratbu wake kaka.....katba ya mwanadamu iko akilini mwake daima...hvyo basi ni vyema ukanitia nguvu kuliko kuanza kunilaumu na kunikosoa....pia ni vyema zaid kama ungenifata pm ukanishaur ningekujuwa wa maana san kuliko kuni....kwenye uwanja huu.....aaaah acha zako bana