Kusanya zako hela mkuu..jenga li ghetto lako nunua li usafir la ukweli kama ni kiu tafuta ya kupiga ipite hiv[emoji117].
hawa wanawakee wanateesa akili,tena hawa wa kutafuta online achana nao kabisa.Nina umri kama wako kwa sasa nimeshapitia mengi in short najuta sababu nimerudishwa nyuma kimaendeleo.