Umepoteza dira mke mwema hutoka kwa Bwana, maanake Fanya maombi ya kufunga, ushaur wangu hiyo age hutampata mchumba kitabia bali mpenziHabari wadau,
Ni MWANAUME mwenye 25yrs, mrefu wa wastani, ni mfanyabishara wa kawaida. Natafuta mchumba wa KIKE mwenye kuanzia 17yrs-20yrs, AWE MWADVENTISTA MSABATO au aliye TAYARI kuwa MWADVENTISTA MSABATO WA UKWELI. Kama upo tayari nicheki hapa: bahatij327@gmail.com (NIPO SERIOUS WALA SITANII KABISA).
ANGALIZO: KAMA HAIKUHUSU POTEZEA USICHAFUE HEWA HAPA.
mkuu mke mwema hashushwi kutoka mbinguni bali Mwenyezi Mungu hukupatia mke mwema kutoka hapahapa duniani haijalishi atatokea wapi,kuhusu age mbona iko poa kabisa?au ulitaka nianze kutafuta nikiwa tumboni nini?Umepoteza dira mke mwema hutoka kwa Bwana, maanake Fanya maombi ya kufunga, ushaur wangu hiyo age hutampata mchumba kitabia bali mpenzi
Dogo tafuta pesa kwanza mapenzi hayatafutwi watakuja tu.Habari wadau,
Ni MWANAUME mwenye 25yrs, mrefu wa wastani, ni mfanyabishara wa kawaida. Natafuta mchumba wa KIKE mwenye kuanzia 17yrs-20yrs, AWE MWADVENTISTA MSABATO au aliye TAYARI kuwa MWADVENTISTA MSABATO WA UKWELI. Kama upo tayari nicheki hapa: bahatij327@gmail.com (NIPO SERIOUS WALA SITANII KABISA).
ANGALIZO: KAMA HAIKUHUSU POTEZEA USICHAFUE HEWA HAPA.
Miaka 17 ni mtoto utafungwa.Habari wadau,
Ni MWANAUME mwenye 25yrs, mrefu wa wastani, ni mfanyabishara wa kawaida. Natafuta mchumba wa KIKE mwenye kuanzia 17yrs-20yrs, AWE MWADVENTISTA MSABATO au aliye TAYARI kuwa MWADVENTISTA MSABATO WA UKWELI. Kama upo tayari nicheki hapa: bahatij327@gmail.com (NIPO SERIOUS WALA SITANII KABISA).
ANGALIZO: KAMA HAIKUHUSU POTEZEA USICHAFUE HEWA HAPA.
Mheshimiwa raisi wetu alikataza kuita watoto wachumba.. akikusikia wewe utakuwa ni lishetaniMchumba si mke,anaweza akawa na miaka 10,na bado akawa mchumba wako sawa?