futa mchumba (binti)..awe muislam...mwembamba na mrefu. Awe na maadili ya kiislam, akiwa na elimu kidogo ni vyema zaidi.
Mimi nina masters na nafanya kazi wa tahasisi ya serikali
futa mchumba (binti)..awe muislam...mwembamba na mrefu. Awe na maadili ya kiislam, akiwa na elimu kidogo ni vyema zaidi. Mimi nina masters na nafanya kazi wa tahasisi ya serikali
Dah sikushtukia kama nimekosea kihivyo...but naona kama hili tatizo la kukosea ni kubwa sana kwani nikitembelea post za watu nyingi zimekosewa..
Hapo elimu hai-apply sana mkuu ni makosa ya kibinadamu tu