Natafuta mchumba wa kuoa

Godime

New Member
Joined
Mar 31, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Ninahitaji mchumba miaka 25-27 awe mwenye hofu ya Mungu awe mwenyewe kujitambua kuwa ye2 ni nani? na anataka kufika lengo gan? asiwe amezaa anitafute nipo serious namba ya simu 0672585133
 
ukipata niambie na mimi niweke advert yangu hapa...
 
Siku hiz ukitafuta pesa ndio umetafuta mchumba. Hakuna njia nyingine. Hii unayotumia ni ya kizamani sana na haitakusaidia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…