We jamaa bure kabisa!!Ndugu zangu habari za leo? Kama kichwa cha habari inajieleza nahitaji mchumba wa kuoa msichana Elimu yangu degree,miaka 39, kwa sasa naishi nje ya nchi kwa mkataba ya miaka mitatu,sina mtoto,mrefu,mnene kidogo giant,mweusi,sura kawaida sio handsome wala si ugly.
Sifa za ninae mtaka:
Awe mweupe au maji ya kunde
Mrefu na awe na kiwowo hata kidogo
Elimu kuanzia form four
Asiwe na mtoto
Awe tayari kuishi nchi nyingine tofauti na Tanzania.
Awe na tabia njema na awe muelewa(understanding)
Dini napreffer hasa mkristo
Nawasilisha.kama uko tayari tuwasiliane Pm na tutayajenga vizuri tu.Ndoa upangwa na MUNGU njoo tuzungumze.
HahahahTuma picha kwanza.
Mbona ameandika sifa za kawaida sana,hata mie ninazo zoteUkipata mke mwenye hizo sifa hapo juu,
nidai hela ya kodi ya miezi sita.
Kila la heri mkuu,utapataNdugu zangu habari za leo? Kama kichwa cha habari inajieleza nahitaji mchumba wa kuoa msichana Elimu yangu degree,miaka 39, kwa sasa naishi nje ya nchi kwa mkataba ya miaka mitatu,sina mtoto,mrefu,mnene kidogo giant,mweusi,sura kawaida sio handsome wala si ugly.
Sifa za ninae mtaka:
Awe mweupe au maji ya kunde
Mrefu na awe na kiwowo hata kidogo
Elimu kuanzia form four
Asiwe na mtoto
Awe tayari kuishi nchi nyingine tofauti na Tanzania.
Awe na tabia njema na awe muelewa(understanding)
Dini napreffer hasa mkristo
Nawasilisha.kama uko tayari tuwasiliane Pm na tutayajenga vizuri tu.Ndoa upangwa na MUNGU njoo tuzungumze.
Mbona ameandika sifa za kawaida sana,hata mie ninazo zote
Sihitaji mume humuZama piemu mkayajenge
"Mweupe awe na kiwowo kidogo" wewe unataka mke wa maonyesho au mke wa kujenga nae familiaNdugu zangu habari za leo? Kama kichwa cha habari inajieleza nahitaji mchumba wa kuoa msichana Elimu yangu degree,miaka 39, kwa sasa naishi nje ya nchi kwa mkataba ya miaka mitatu,sina mtoto,mrefu,mnene kidogo giant,mweusi,sura kawaida sio handsome wala si ugly.
Sifa za ninae mtaka:
Awe mweupe au maji ya kunde
Mrefu na awe na kiwowo hata kidogo
Elimu kuanzia form four
Asiwe na mtoto
Awe tayari kuishi nchi nyingine tofauti na Tanzania.
Awe na tabia njema na awe muelewa(understanding)
Dini napreffer hasa mkristo
Nawasilisha.kama uko tayari tuwasiliane Pm na tutayajenga vizuri tu.Ndoa upangwa na MUNGU njoo tuzungumze.
Huelewi,Mbona ameandika sifa za kawaida sana,hata mie ninazo zote
Huelewi,
Tatizo siyo sifa kuwa za kawaida au ngumu,
tatizo ni kumpata.
Haya, wewe hapo umesema sifa zote unazo, nenda kaolewe sasa.
Tatizo siyo sifa, tatizo ni kuolewa mama.
Ukipata mke mwenye hizo sifa hapo juu,
nidai hela ya kodi ya miezi sita.
Wewe utanifaa mimi, twende pmSifa zote ninazo isipokua wowowo
Mbona ameandika sifa za kawaida sana,hata mie ninazo zote
Ha ha ha ha hahaahaaa
Kwa hiyo na wewe una Kiwowowo au una wowowo