Ombi Natangaza kutia nia kuwa mgombea vigezo nimekidhi hapo kwenye umri nimezidi kidogo naomba ofisi ya moyo wako inifikirie.Habari wapendwa!
Mimi ni msichana wa miaka 23. Natokea mkoa wa Mwanza Ni mkerewe nimeamini fika kuwa nikija hapa JF naweza pata mchumba wangu wa kunioa. Kwa Sasa nipo Arusha nasoma elimu ya Juu. Nipo tayari kuolewa na mwanamme mwenye sifa zifuatazo;
1. Awe na umri kuanzia miaka 26 mpaka 34
2. Awe anajua kutafuta pesa. Ila siyo lazima awe tajiri
3. Dini awe mkristu.
4. Kabira lolote
5. Asinitake kimwili kabla ya kufunga ndoa.
Mengine tutajuza huko pm. Sifa zangu Mimi ni kama ifuatavyo. Nimeoka, bado sijamjua mwanamme(bado nipo bikira), Ni mweupe, Ni mvumilivu na nina miaka 23 kama nilivyotangilia kusema.
Karibu sana
Karibu pm hutajuta kuwa na Mimi mpendwa.mimi nitavumilia mpaka ndoa Kama ulivyo sema.Habari wapendwa!
Mimi ni msichana wa miaka 23. Natokea mkoa wa Mwanza Ni mkerewe nimeamini fika kuwa nikija hapa JF naweza pata mchumba wangu wa kunioa. Kwa Sasa nipo Arusha nasoma elimu ya Juu. Nipo tayari kuolewa na mwanamme mwenye sifa zifuatazo;
1. Awe na umri kuanzia miaka 26 mpaka 34
2. Awe anajua kutafuta pesa. Ila siyo lazima awe tajiri
3. Dini awe mkristu.
4. Kabira lolote
5. Asinitake kimwili kabla ya kufunga ndoa.
Mengine tutajuza huko pm. Sifa zangu Mimi ni kama ifuatavyo. Nimeoka, bado sijamjua mwanamme(bado nipo bikira), Ni mweupe, Ni mvumilivu na nina miaka 23 kama nilivyotangilia kusema.
Karibu sana
Kuna jamaa alimkimbia stendi ya ARUSHA mchumba wa mtandaoni siku ya Kwanza tu kukutana uso kwa uso[emoji23]kazi za lawama hizi.. picha kwanza pm
"Tutafanya baada ya ndoa" jibu kama baharia
Usituharibie !!!! Tupo bizy kusaka ridha kwenda kugombea ubunge2020Habari wapendwa!
Mimi ni msichana wa miaka 23. Natokea mkoa wa Mwanza Ni mkerewe nimeamini fika kuwa nikija hapa JF naweza pata mchumba wangu wa kunioa. Kwa Sasa nipo Arusha nasoma elimu ya Juu. Nipo tayari kuolewa na mwanamme mwenye sifa zifuatazo;
1. Awe na umri kuanzia miaka 26 mpaka 34
2. Awe anajua kutafuta pesa. Ila siyo lazima awe tajiri
3. Dini awe mkristu.
4. Kabira lolote
5. Asinitake kimwili kabla ya kufunga ndoa.
Mengine tutajuza huko pm. Sifa zangu Mimi ni kama ifuatavyo. Nimeoka, bado sijamjua mwanamme(bado nipo bikira), Ni mweupe, Ni mvumilivu na nina miaka 23 kama nilivyotangilia kusema.
Karibu sana
Hahaaa... Unaweza ukadhani dili kumbe dirishakazi za lawama hizi.. picha kwanza pm
Wanasema "ukiwa muongo basi usiwe msahulifu" hii ndio JF Wamejaa ma GT,hawachelewi kufukua makaburi...View attachment 1508567
Huyu taperi
Hatujasahau mlichomfanyia Mdude chademaHabari wapendwa!
Mimi ni msichana wa miaka 23. Natokea mkoa wa Mwanza Ni mkerewe nimeamini fika kuwa nikija hapa JF naweza pata mchumba wangu wa kunioa. Kwa Sasa nipo Arusha nasoma elimu ya Juu. Nipo tayari kuolewa na mwanamme mwenye sifa zifuatazo;
1. Awe na umri kuanzia miaka 26 mpaka 34
2. Awe anajua kutafuta pesa. Ila siyo lazima awe tajiri
3. Dini awe mkristu.
4. Kabira lolote
5. Asinitake kimwili kabla ya kufunga ndoa.
Mengine tutajuza huko pm. Sifa zangu Mimi ni kama ifuatavyo. Nimeoka, bado sijamjua mwanamme(bado nipo bikira), Ni mweupe, Ni mvumilivu na nina miaka 23 kama nilivyotangilia kusema.
Karibu sana
Aonyeshe chura ili tujue kama ana tabia nzuri"Tutafanya baada ya ndoa" jibu kama baharia
Hahaha dahnimepoteza sifa ya kigezo namba 5
Ile post nyingine inaonesha kam ni Wa kiumeHabari wapendwa!