Mimi ni mvulana
Nna miaka 31, mkristo(RC),
Nimeajiriwa
Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde)
Makazi yangu ni dar
Elimu-BA
Nna watoto wawili
Sifa:
Awe na umri kati ya 25-28
Awe mkristo
Awe ameajiriwa/amejiajiri
Mwenye hofu ya Mungu
Kama ana mtoto asizidi mmoja
Hardworker
Elimu kuanzia form six na kuendelea
Asiwe mfupi sana
Tuwasiliane kwa pm