Natafuta Mchumba Wa Kike, Awe Na Umri Usiozidi Miaka 26, Awe Anajitambua Na Mkweli.
WASIFU WANGU
Nina Miaka 26, Mkristo, Mweusi Na Handsome Inshort Najikubali, Nampenda Mungu, Ni Muajiriwa Serikalini Na Zaidi Kuliko Yote Nimeokoka.
NAITAJI MTU ANAEJITAMBUA KAMA MIMI NA MWENYE KUPENDA MAENDELEO. ALIE TAYARI ANI PM, NA WASIFU WAKE.
kwa kiswahili ulicho tumia sina uhakika kama kweli umeajiriwa serikali!! Lakini anyway ngoja waje wataalamu wa lugha!!
kusilimu sitaeza hata kama una uzuri wa malaika na una mabawa, never ever
umeokoka?
basi sio bahati yangu
Heh humu kuna bahati kumbe
umeokokea wapi kwa gwajima, mama Rwaka, mwingira, kwa luse,kakobe etc
Kwan huko ulko ajriwa hauwaon wateja hata mmoja wa kumtupia vocal?????
umeokoka?
basi sio bahati yangu
Kwan huko ulko ajriwa hauwaon wateja hata mmoja wa kumtupia vocal?????