Natafuta mchumba!!!Wa kike.

jamalom

Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
10
Reaction score
2
Mi nikijana mwenye umri wa miaka 29, Mweusi, urefu wangu 176cm. Natafuta mchumba ili baadae awe mke wangu! Naishi maishi ya kawaida, kuhusu kazi au elimu, kama huko serious nitafute utajua.

Sifa za mchumba:
1. Dini yeyote ile ila asiwe mtu wa kudharau dini za watu wengine, maana yake ubinadamu kwanza.
2. Awe na elimu kuanzia Advanced diploma
3.Umri 22-30.
4. Rangi asiwe mweusi sana
5. Awe na body morphology nzuri.
My contact:abeidanatory@yahoo.com
 
Mkuu karibu kwanza kwenye taifa letu hili, post yako ya kwanza tuu umetangaza nia, ahya ngoja waje wakupokee mgeni
 
^^
Kila la kheri Nakuombea usikutane na love pretenders!
^^
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…