Emmanuel2010 Member Joined Oct 30, 2010 Posts 7 Reaction score 0 Sep 24, 2013 #1 Vigezo Awe na umri kati ya miaka 18-24 Rangi so inshu lakini black is good Aweze kujitegemea sio baby sina vocha Awe na subira na muelewa wa maisha Ajiamini na awe tayari kupima kimo(Urefu) usipungue 170cm Asiwe mlevi lakini asiwe hanywi pombe Awe kabila lolote lile lakini si mchaga Awe hajawai toa wala kupata mimba Awe msafi wa mwili na mazingira Awe mkweli na muwazi katika mambo ya msingi Awe na mvuto kama huna pisha wenzako
Vigezo Awe na umri kati ya miaka 18-24 Rangi so inshu lakini black is good Aweze kujitegemea sio baby sina vocha Awe na subira na muelewa wa maisha Ajiamini na awe tayari kupima kimo(Urefu) usipungue 170cm Asiwe mlevi lakini asiwe hanywi pombe Awe kabila lolote lile lakini si mchaga Awe hajawai toa wala kupata mimba Awe msafi wa mwili na mazingira Awe mkweli na muwazi katika mambo ya msingi Awe na mvuto kama huna pisha wenzako
Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,465 Sep 24, 2013 #2 Wewe ni wa-kiume au mwanamme?
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 Sep 24, 2013 #3 Muumbe mwenyewe. .....
Jof3 JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 663 Reaction score 324 Sep 24, 2013 #4 ngoja nikuongezee "asiwe na chogo ndefu"
B Barhearty JF-Expert Member Joined Jun 18, 2013 Posts 319 Reaction score 29 Sep 24, 2013 #5 mi pia natafuta mchumba lakini hizo sifa zako zote nnazn ila hiyo ya vocha imenishnda. Pia napenda mwanaume siyo wakiume asiyependa majukumu
mi pia natafuta mchumba lakini hizo sifa zako zote nnazn ila hiyo ya vocha imenishnda. Pia napenda mwanaume siyo wakiume asiyependa majukumu
Emmanuel2010 Member Joined Oct 30, 2010 Posts 7 Reaction score 0 Sep 24, 2013 Thread starter #6 Barhearty said: mi pia natafuta mchumba lakini hizo sifa zako zote nnazn ila hiyo ya vocha imenishnda. Pia napenda mwanaume siyo wakiume asiyependa majukumu Click to expand... Majukumu c kununuliana vocha. kuwa mwanamke ni zaidi ya kuomba vocha kuna vitu vidogo ambavyo vitakutofautisha wewe kama mwanamke anayefaa kuwa mke na mwanamke malaya.
Barhearty said: mi pia natafuta mchumba lakini hizo sifa zako zote nnazn ila hiyo ya vocha imenishnda. Pia napenda mwanaume siyo wakiume asiyependa majukumu Click to expand... Majukumu c kununuliana vocha. kuwa mwanamke ni zaidi ya kuomba vocha kuna vitu vidogo ambavyo vitakutofautisha wewe kama mwanamke anayefaa kuwa mke na mwanamke malaya.
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Sep 24, 2013 #7 Mh!! Hamna kitu!!!
L love peace Senior Member Joined Sep 10, 2013 Posts 130 Reaction score 37 Sep 24, 2013 #8 vocha watamtumia wanaume wenzako mkuu.we c huwez majukum.
N ng`wana ong`wa kulwa JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 2,420 Reaction score 1,754 Sep 24, 2013 #9 Emmanuel2010 said: 8.Awe kabila lolote lile lakini si machaga. Mke mwema anapatikana kila kabila kwa nini isiwe mchaga? Click to expand...
Emmanuel2010 said: 8.Awe kabila lolote lile lakini si machaga. Mke mwema anapatikana kila kabila kwa nini isiwe mchaga? Click to expand...