Daud Johnson
Member
- Apr 9, 2018
- 41
- 14
Sawa mkuu & ninafanya hivyo ila sio kwa nia ya kuwa nao wengiTafuta pesa watakuja wenyew mpaka utawakimbia kijana..
Kila la kheri ndugu wakija wengi nipunguzie mmoja..Sawa mkuu & ninafanya hivyo ila sio kwa nia ya kuwa nao wengi
Sijashindwa mkuu ila kizuri kinatafutwa, that's why niko hapaDSM mademu wapo 3milioni, umeshindwa kupata ata mmoja....unazingua jombaa
UNAFELISijashindwa mkuu ila kizuri kinatafutwa, that's why niko hapa
Asantechanika kulivyojaa totoz umechemka aisee pole sana
Bado sijamuonaChangamka wewe kijana..mtaani umekosa hadi uje huku??
Ni kweli kabisa mkuu, ila sitarajii iwe hivyoMaisha ya ndoa yana mambo mengi sana yani utashangaa unampata mwanamke mwenye sifa hizo alafu bado ndoa inakuja kudumu miezi mitatu tu
Mkuu unatafuta mke kama unatafuta bidhaa!!! Hebu fanya kuzunguka zunguka bhn,huwezi ukakosa kabisa atayekuvutia. Ukikosa kabisa, hebu zama mbwinde kidogoSijashindwa mkuu ila kizuri kinatafutwa, that's why niko hapa
Mkuu huku unapotea,nenda kanisani,mtaani,kijijini au ktk ofisi mbalimbali utampata tu,huku utaumia.Habari zenu wana jukwaa, mimi ni kijana wa kiume, makazi yangu ni dar es salaam maeneo ya chanika
Lengo na dhumuni kuja mbele yenu nahitaji binti ambaye yuko tayari kuingia katika mahusiani nami ya uchumba hatimaye ndoa
Wasifu wangu ni kama ifuatavyo,
Dini: mkristo
Umr: 28
Elimu: diploma holder
Kazi: business man
Sifa zangu,
. Napenda kazi & kujituma na ndio maana nimejiajiri.
. Ni msafi na ninapenda usafi.
. Ni mcheshi
. Napenda kujifunza kupitia watu wengine nk.
SIFA ZAKE,
. Awe mcha Mungu
. Awe mwenye bidii katika kazi na utafutaji kwa ujumla
. Asiwe na kiburi
. Awe mcheshi
. Akiwa ni mwalimu kitaaluma itapendeza zaidi hata kama hana ajira
Nawasilisha kwa yeyote mwenye nia ya dhati na sifa hizo.
#Do the best and God will do the rest...