Natafuta mchumba mwenye sifa hizi

sirjohn

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
767
Reaction score
679
Natafuta mchumba mwenye sifa hizi;
1. Awe na umri usiozidi miaka 32
2. Elimu kuanzia diploma
3. Mkristo au muuslam aliyetayari kubadr dini na kuwa mkristo
4. Mcha Mungu
5. Anaejitambua kama mama
6. Mrefu,mweusi na awe mrembo

Cv yangu;

1. Umri miaka 32
2. Elimu MBA
3. Nimeajiliwa serikalini
4. Mkristo
 
Mbona umeweka sifa peke yake? Vipi kuhusu mapungufu yako
 
kuna haja ya kuanzisha dating sites
 
Kuna mdada aliweka bandiko kuwa anataka mme sasa bahati hii si ataikos asipopita hapa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…